Azam wamepigwa wakiwa nyumbani
Dar es Salaam . Azam imeweka rekodi pamoja na kumiliki mpira kwa asilimia 70, imeshindwa kupiga shuti hata moja lililolenga goli ikichapwa bao 1-0 na Triangle United ya Zimbabwe katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Kocha Ettiene Ndayiragije alishindwa na mbinu za mchezo huo kutokana na wapinzani wake Triangle kucheza mpira wa kujilinda muda wote huku wakishambulia kwa kushtukiza.
Kocha Ettiene Ndayiragije alishindwa na mbinu za mchezo huo kutokana na wapinzani wake Triangle kucheza mpira wa kujilinda muda wote huku wakishambulia kwa kushtukiza.
No comments