Simba Waingia Mkataba Mkubwa na Equity Bank



We have entered into an agreement with Equity bank which will enable the bank to manage a new member and fans card project called the Lion Card. .


The cards will be used by members and fans to save money and make time to spend, but also to pay an annual fee, buy entry tickets, and get up to 10% off discounts at participating supermarkets. .


The biggest advantage for clubs in those cards is the deductions available when opening accounts, collecting fees up to once and once a year, and getting accurate fan statistics if each fan opens an account. . The cards will begin releasing in September this year by replacing the current members cards and later on for new members and fans.



Tumeingia mkataba na benki ya Equity ambao utawezesha benki hiyo kusimamia mradi wa kadi mpya za wanachama na mashabiki ambazo zitaitwa Simba Card. . Kadi hizo zitatumiwa na wanachama na mashabiki kuweka akiba ye pesa na kutoa pindi wanapotaka kutumia, lakini pia kulipa ada ya kila mwaka, kununua tiketi za kuingia mpirani, na kupata punguzo la mpaka 10% kwenye maduka makubwa ambayo tutashirikiana nayo. . Faida kubwa kwa klabu katika kadi hizo ni makato yanayopatikana wakati wa kufungua akaunti, kukusanya ada kisasa na mara moja kwa mwaka, na kupata takwimu sahihi za mashabiki iwapo kila shabiki atafungua akaunti. . Kadi hizo zitaanza kutolewa Septemba mosi mwaka huu kwa kuwabadilishia kadi wanachama wa sasa na baadae litaendelea kwa wanachama wapya na mashabiki. #IgaUfeThisIsNextLevel #SportPesaSimbaWeek #NguvuMoja
A post shared by Simba Sports Club (@simbasctanzania) on

No comments