Hii hapa ratiba ya robo fainali ya UEFA
Shirikisho la soka barani ulaya UEFA limetoa ratiba ya michezo ya robo fainali mapema hii leo na ipo kama ifuatavyo:
Mshindi kati ya Real Madrid na Manchester City atacheza na mshindi kati ya Juventus au Lyon.
RB Leipzig yeye atamenyana moja kwa moja na Atletico Madrid.
Mechi nyingine ni ile ya Napoli na Barcelona mshindi wa mechi hii atapepetana na mshindi kati ya Chelsea na Bayern.
Mechi ya mwisho itakuwa ya Atalanta na PSG.

No comments