Vilabu shiriki vya ligi ya Tanzania bara kuanza mazoezi rasmi

Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali imeruhusu vilabu vyote vinavyoshiriki ligi soka Tanzania bara yaani ligi kuu, ligi ya daraja la kwanza na ligi daraja la pili kuanza mazoezi kuanzia sasa.

No comments