Coutinho mkataba wake na Munich kuisha Juni 30
PHILIPPE Coutinho, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Bayern Munich kwa mkopo akitokea Barcelona anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho msimu ujao.
Nyota huyo ambaye mkataba wake wa mkopo ndani ya Munich unamalizika Juni 30, hajawa kwenye ubora wake mkubwa kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara.
Kocha wa Bayern Munich, Hans Dieter Flick amekuwa hampi nafasi ya mara kwa mara nyota huyo hata wakati anapokuwa fiti.
Miongoni mwa timu ambazo zinahitaji huduma yake ni pamoja na Chelsea, Arsenal na Tottenham Hotspur ambazo zote zinashiriki Ligi Kuu England.

No comments