Breaking News

Griezmann kwenye dili la Lautaro Martinez kutua Barcelona

Klabu ya Inter Milan wamewaambia Barcelona kwamba wanamuhitaji Antoine Griezmann kwenye dili la kubadilishana wachezaji na mchezaji wao anaowaniwa na na vigogo hao wa Hispania, Lautaro Martinez ( Gazzetta Dello Sport ).

No comments