Breaking News

Davies na Bayern kifungoni mpaka 2025

Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani imemuongezea mkataba mchezaji wake Alphonso Davies, mkataba utakaomfanya beki huyo wa kushoto kusalia katika viunga vya Allianz Arena mpaka mwaka 2025.

No comments