Vijana wa Mourinho wameitungua Manchester City kwa idadi ya magoli 2 kwa 1, magoli yaliofungwa na Bergwijn na la pili likihitimishwa na Hyeung Min Son.
Huku Man City wakimaliza mechi wakiwa pungufu baada ya beki wao Zichenko kuoneshwa kadi nyekundu.
Mourinho apeleka msiba kwa City
Reviewed by SkyBoy - NMG
on
February 02, 2020
Rating: 5
Post Comment
No comments