Dembele nje miezi 6


Barcelona wamethibitisha kwamba mchezaji wao, winga wa kimataifa wa Ufaransa na Barcelona Ousmane Dembele atakuwa nje ya dimba kwa muda wa miezi 6 baada ya kufanyiwa upasuaji wa misuli ya nyuma ya paja.

Na sasa rasmi ataikosa michuano ya Mataifa Ulaya 2020.

2 comments: