Samatta afunga bao lake la tatu UEFA
Kipigo cha mabao 4-1 ambacho KRC Genk imekutananacho kutoka kwa Salzburg kinatamatisha matumaini ya Genk kuendelea kubaki kwenye michuano ya Ulaya.
Genk haijashinda mechi yoyote katika hatua ya makundi ya Champions League hadi sasa huku ikiwa imebaki na game moja dhidi ya Napoli ambapo itakwenda ugenini. Hata wakishinda mchezo huo bado watamaliza katika nafasi ya 4 kwenye kundi lao hivyo haitawasaidia hata kuangukia Europa League.
Licha ya Genk kutofanya vizuri kwenye UEFA Champions League, Nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta amefanikiwa kufunga magoli matatu huku ikiwa imebaki mechi moja.
vs Napoli. ⚽
vs Salzburg ⚽
vs Liverpool ⚽
vs Salzburg.

No comments