Breaking News

Ronaldo kuwavaa Atletico Madrid.


Mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo amerejea mazoezini kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Atletico Madrid.

Ronaldo alikosekana katika mchezo wa juzi wa Ligi Kuu ya Italia dhidi ya Atalanta kwa sababu ya majeraha.

No comments