Raisi wa TFF afanya mazungumzo na Raisi wa chama cha soka wa falme za kiarabu
TFF chini ya Rais wake Wallace Karia pamoja na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo Wilfred Kidao jana Novemba 17 2019 walitangaza kufanya mazungumzo na Rais wa chama cha soka cha Umoja wa nchi za Falme za kiarabu UAEFA Eng. Marwan Bin Ghalita kwa ajili ya kushirikiana katika masuala ya soka.
.
Imeelezwa kuwa pande hizo 2 wamekubaliana kushirikiana katika masuala mbalimbali ya soka kama vile soka la vijana, na mengine mengi kuhusu michezo kwa ujumla.
.
Imeelezwa kuwa pande hizo 2 wamekubaliana kushirikiana katika masuala mbalimbali ya soka kama vile soka la vijana, na mengine mengi kuhusu michezo kwa ujumla.
No comments