Breaking News

Mabingwa Mara Nyingi Kombe La Dunia U-17

Brazil U17 yashika nafasi ya pili kwa timu zilizotwaa ubingwa wa kombe la dunia U17 mara 4 ikiwa nyuma ya kinara Nigeria aliechukua mara 5. 

Na hii chini ni top five.


🇳🇬 Nigeria - 5
🇧🇷 Brazil - 4
🇲🇽 Mexico - 2
🇬🇭 Ghana - 2
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England - 1

No comments