Breaking News

Pochetino atimuliwa baada ya kuingoza Spurs miaka mitano


Club ya Spurs imetangaza kuachana na kocha Pochetino baada ya miaka 5 ya kufanya kazi na club hiyo ambayo amefanikiwa kumaliza top 4 ndani ya miaka minne mfurulizo pamoja na kunikiwa kufika fainali ya klabu bingwa msimu uliopita.

Timu zinazotajwa kwamba zinaweza kumtafuta Pochetino kwa ajili ya huduma ni Bayern Munich, PSG, United na Real Madrid

No comments