Genk wamtangaza kocha wao mpya
Mabigwa watetezi wa ligi kuu ya Ubelgiji Genk wamemteu Mjerumani, Hannes Wolf kuwa kocha mpya wa klabu hiyo.
Wolf mwenye umri wa miaka 38, ambaye aliwaongoza Stuttgart kupanda daraja nchini Ujerumani miaka miwili iliyopita na baadae kuwa kocha wa Hamburger SV, amejiunga na Genk akiwa pamoja na msaidizi wake wa muda mrefu Miguel Moreira.
Wolf aliwahi kufundishwa na kocha wa Liverpool Jurgen Klopp wakati alipokuwa akisimamia timu za vijana huko Borussia Dortmund.
Amechukua nafasi ya Felice Mazzu, ambaye alifukuzwa kazi mwezi huu baada ya Genk kupoteza kwa Salzburg 6-2 na kupigwa mara mbili na Liverpool katika wiki za hivi karibuni kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

No comments