Messi goli saba tu kuifikia rekodi ya Pele
Mshambuliaji hatari wa Kandanda Leo Mess A.K.A La Pulga ameiokoa timu yake kwa kukataa kulala mbele ya Uruguay katika mchezo wa kirafiki ulio kwenye kalenda ya FIFA.
dakika ya 90+2 La Pulga ndio aliyepiga penati na kufanya ubao kusomeka 2-2
Goli la Lionel Messi vs Uruguay.
Amefikisha goli la 70 akiwa na jezi ya timu ya taifa ya Argentina.
Amebakiza magoli 7 tu ili kuifikia rekodi ya Pele ya kuwa mfungaji mwenye magoli mengi zaidi kwenye timu za taifa ndani ya bara la Amerika Kusini.

No comments