Breaking News

Kikosi cha Juventus kitakachoanza dhidi ya Atletico de Madrid

Kikosi cha Juventus kikiwa na mabadiliko kidogo kutoka kwenye mchezo uliopita wa ligi, huku Ronaldo akirudi na kucheza na Dybala kwenye safu ya ushambuliaji.

No comments