Joao Felix ametwaa tuzo ya Golden Boy 2019
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Atletico Madrid, Joao Felix ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka mwenye umri mdogo barani Ulaya inayojulikana kama (Golden Boy award ) na kuwazidi wapinzani wake wa karibu wachezaji, Kai Harvetz wa Bayern Leverkusen na Jardon Sancho wa Dortmund.
No comments