Breaking News

Cavani majeraha ndio yanayomuweka benchi

Thomas Tuchel: Kocha wa PSG kabla ya mchezo wa leo dhidi ya Dijon, ametoa maelezo kwanini mshambuliaji Edison Cavani hachezi:

"hana furaha kabisa kwani amekuwa akiuguza majeraha kwa muda mrefu sasa. Yeye anataka kuisaidia timu na sisi tungependa kumuona akicheza, lakini anapaswa kupambana zaidi kama wenzake wengine".

No comments