Breaking News

Bruno Fernandez kumpata sasa ni Euro Million 100


Kiungo wa kimataifa wa Ureno Bruno Fernandes amesaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga katika klabu yake ya Sporting Lisbon.

Kiungo huyo maridhawa wa kireno alikuwa akihusishwa sana na kuhamia Manchester United pamoja na Tottenham Hotspurs majira ya kiangazi yaliyopita.

Mkataba wake mpya cha kushangaza hauongezi miaka yake ya kuendelea zaidi kubaki hapo, itabaki muda ule ule wa mkataba wa zamani bali kinachoongezeka ni thamani yake ya kuuzwa ( Buy-Out Clause ) mpaka kufikia Euro Milioni 100.

No comments