Ibrahimovic tatalila kibao huku Carlos Vela vitendo
Baada ya tambo nyingi za Zlatan Ibrahimovic kuhusu ubora wake dhidi ya Carlos Vela ktk ligi kuu ya Marekani ( MLS ), hatimaye msimu wa kawaida wa ligi hiyo umemalizika ukimuacha Vela akishinda kwa vitendo.
Mbali ya kuwawezesha Los Angels FC, kuwa viongozi wa msimamo wa ligi ukanda wa magharibi lakini pia umekua ni msimu bora kwake dhidi ya Zlatan na Los Angels Galaxy walio katika nafasi ya 5 ya msimamo huo.
Carlos Vela ameweka rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi katika msimu mmoja wa MLS ktk historia ya ligi hiyo.
Ni wachezaji watatu pekee wamefunga magoli 30 au zaidi ktk msimu mmoja wa MLS:.
• 2019: Carlos Vela (34)
• 2018: Josef MartÃnez (31)
• 2019: Zlatan Ibrahimović (30)
Carlos Vela, mmexico ktk Historia ya Marekani 🇲🇽

No comments