Hii Ndio LaLiga Santander Leo Jumapili, Usikose
Hii sio ya kukosa leo kwani Mechi zote ni kali , Nazungumzia hapa ni hapa ni real Sociedad pale real betis ukigeuka huku ni Espanyol Pale villarreal... ni hatari kwa Afya na ni moto wa kuotea Mbali..
Sasa Ratiba iko Hivi :
Saa 13:00 (Saba) Mchana : Alaves VS Celta Vigo - Hii itakuwa Mapema sana
(Icheck kupitia AZAM SPORTS HD)
Saa 15:00 (tisa) Alasiri : Real Sociedad VS Real Betis
(Icheck kupitia AZAM SPORTS HD)
Saa 17:00 (Kumi na Moja) Jioni : Espanyol VS Vilarreal
(Icheck kupitia AZAM SPORTS HD)
Saa 19:30 (Moja Unusu) Usiku : Atletico Bilbao VS Real Valladolid
(Icheck kupitia AZAM SPORTS HD)
Saa 22:00 (Nne) Usiku : Sevilla VS Levante
(Icheck kupitia AZAM SPORTS HD)
Leo Sio siku ya kukosa Pale Spain
CC: Nurdinmohamed.com & Muziktz.com
Post Comment
No comments