Breaking News

Aussems & Miraji wametwaa tuzo (September)

MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba, Miraji Athumani amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom  (VPL) mwezi uliopita Septemba huku kocha wake Patrick Aussems akiwa Kocha Bora wa mwezi huo.

No comments