Breaking News

Harry Kane ni moja ya nyota waliofunga baada ya michezo 200

Baada ya Harry Kane kufunga goli moja katika ushindi wa goli 2 - 0 walioupata dhidi ya West Ham, ameweza kuingia katika rekodi ya wachezaji nyota waliofunga magoli mengi zaidi baada ya mechi 200 za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).

No comments