Shirikisho la soka nchini Italia limepanga kuumaliza msimu huu wa Serie A ifikapo tarehe 20 ya mwezi wa nane. Inaleta matumaini msimu wa 2020 - 2021 kuanza tarehe 1 ya mwezi wa Tisa.
Post Comment
No comments