Breaking News

Rekodi ya Bruno na united

Kiungo mshambuliaji wa Manchester United Bruno Fernandez amefunga magoli 3 na kutoa pasi za magoli 4 katika michezo 9 aliyocheza toka asajiliwe na United.

Amehusika katika magoli mengi Europe League msimu huu, amehusika katika magoli 10 zaidi ya mchezaji yeyote.

No comments