Ashley Young akamilisha usajili na Intermilan ya italia


Klabu ya Inter Milan imekamilisha usajili wa beki Ashley Young 34 kutoka Manchester United kwa ada ya uhamisho wa Pauni Milioni 1.3 kwa mkataba utakaomuweka klabuni hapo hadi 30 Juni, 2020 huku kukiwa na kipengele cha Kuongeza mwaka mmoja zaidi.

No comments