Raundi ya 32 Europe League baada ya droo kuchezeshwa

Droo imekamilika na kila timu imejua inaenda kukutana na timu gani katika round ya 32.

Huku vigogo wa England Manchester United wakipangwa na Club Bruge ya Ubeligi, Arsenal nao watavaana uso kwa uso na Olimpiacos.

No comments