UEFA itapanga ratiba ya michuano ya Europa League, michuano ambayo inashirikisha timu 32 huku timu 8 zikiwa ni zile ziliondolewa katika michuano ya klabu Bingwa kwa kushika nafasi ya tatu kila kundi.
Droo ya kupanga mechi za raundi ya mtoano itafanyika Uswisi. Hafla itaanza saa 8:00 mchana.
Post Comment
No comments