Anthony Martial amekua wamoto katika mechi sita alizoanza, amehusika katika goli sita kwenye ligi msimu huu. Mabao 3 Asist 3 FT Manchester United 3 Brighton 1
No comments