Breaking News

Haaland ligi gani inamfaa kati ya tano bora!

Mshambuliaji kinda wa Salzburg, Erling Haaland jana alifunga hattrick yake ya 5 ndani ya msimu huu.

Haaland ndiye mfungaji wa hattrick ya kwanza pia ya Uefa msimu huu, huku akiwa amefunga ktk kila mchezo wa Uefa.

Haaland mwenye umri wa miaka 19 mpka sasa msimu huu:
.
🏟 mechi 18
⚽️ magoli 26
📍 hattrick 5

No comments