Taifa Stars ipo Juu kileleni
Taifa Stars imetinga katika hatua ya makundi ya kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Qatar 2022 baada ya kuiondosha Burundi kwa ‘matuta’, shukrani kwa ushujaa wa kipa Juma Kaseja.
Stars inaungana na timu nyingine 13 zilizopita katika hatua ya awali ya mchujo na kuungana na mataifa 26 yanayoongoza katika viwango vya soka Afrika kufanya timu 40 zitakazochuana katika hatua ya makundi ya kuwania kufuzu

No comments