Matokeo ya UEFA 2019


Matokeo ya UEFA usiku wa tar 17 sio rafiki kabisa kwa Ali Mbwana Samatta aliyepigwa goli 6 katika mechi ya ufunguzi..
Liverpool pamoja na Chelsea wakipata dozi pia huku Barcelona wakiambulia safe.

No comments