Matokeo ya jumla ya Ligi kuu Tanzania bara
Matokeo ya jumla ya Vodacom Premier League hii leo baada ya kumalizika michezo yote mda mfupi uliopita, ambao Simba imeendeleza ubabe baada ya kushinda mchezo wake wa nne mfurulizo hii leo baada ya kula kichuli dhidi ya Biashara United kwa idadi ya magoli 2 kwa 0 mabao yaliyofungwa na Medie Kagere na Miraji Athumani, Mtibwa nao baada ya matokeo yasiyolizisha hii leo wameambulia sare ya 1:1 nyumbani dhidi ya Mbeya City, KMC nao wakilazimishwa sare ya 1:1 nawanakuchele, Ndanda Sc, Kagera akiambulia kipigo tena cha pili nyumbani dhidi ya JKT Tanzania pia Lipuli akienda sare tena ya 2:2 na Tanzania Prison.
No comments